LIVE STREAM ADS

Header Ads

Dah! INAUMA, Mjane auziwa nyumba kiutata. Rais ameniagiza hapa, RC

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella ameeleza kutoridhishwa na mazingira ya uuzwaji nyumba ya mjane Prucheria Balilemwa (79) mkazi wa Kilimahewa Manispaa ya Ilemela na kuagiza hadi kufikia Jumatano Februari 17, 2021 awe amepata hati ya nyumba hiyo ili amrejeshee mjane huyo.

Mongella aliyasema hayo Jumapili Februari 14, 2021 alipomtembelea mjane huyo na kueleza kuwa malalamiko yake pia yamemfikia Rais Dkt. John Magufuli aliyeagiza yashughulikiwe ili apate haki yake hivyo asiwe na wasiwasi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.