LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wapewa 'mtihani' vitambulisho vya wajasiriamali

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewataka Wakuu wa Wilaya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanashirikiana vyema na viongozi wengine wakiwemo Maafisa Biashara pamoja na Watendaji wa Vijiji, Mitaa na Kata katika kusimamia zoezi la kuuza vitambulisho vipya vya wajasiriamali ambavyo vimeboreshwa kwa mfumo wa kieletroniki.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.