LIVE STREAM ADS

Header Ads

Msinione mjinga, hakuna kazi hapa. Waziri Aweso achachamaa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Maji, Juma Aweso amekagua ujenzi wa tenki la maji Buswelu wilayani Ilemela na kuagiza mradi huo ulioanza mwaka 2017 kukamilika na kutoa huduma kwa wananchi. Waziri Aweso pia alikagua utandazaji mabomba ya maji kutoka chanzo cha maji Butimba kwenda maeneo mbalimbali ikiwemo Igoma wilayani Nyamagana.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Ujenzi wa tenki la maji Buswelu lenye ujazo wa lita milioni tatu.
Utandazaji mabomba kutoka chanzo cha maji Butimba ukiendelea katika eneo la Kishiri kuelekea Igoma jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.