LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maneno mazito ya RC Robert Gabriel kabla ya kuondolewa Geita kwenda Mara

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mhandisi Robert Gabriel akiwa Mkuu wa Mkoa Geita akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa Geita (GPC) Mei 08, 2021. Kila mwaka Mei 03 huwa ni Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. Jumapili Mei 15, 2021 aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Mkoa Mara.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Katibu Mkuu wa GPC akisoma risala kwenye maadhimisho hayo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.