Waziri Biteko: Mazuri hayasemwi zaidi kama migogoro, tubadilike
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Waziri wa Madini, Doto Biteko (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Geita, Mhandisi Robert Gabriel (aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Mara) cheti cha pongezi kilichotolewa na GPC kwa kutambua mchango wake katika sekta ya habari.
Waziri wa Madini, Doto Biteko (kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi Rais wa UTPC, Deogratius Nsokolo (kushoto) kilichotolewa na GBC kwa kutambua mchango wake katika sekta ya habari.
Waziri wa Madini, Doto Biteko (kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi kutoka GPC mmoja wa waandishi wa habari Mkoa Geita (kushoto) kutokana na mchango wake katika kuhabarisha jamii.
Mwenyekiti wa GPC, Renatus Masuguruko akizungumza kwenye maadhimisho hayo.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: