LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Samia na Rais Kenyatta wamaliza mvutano baina ya Kenya na Tanzania

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ziara ya siku mbili ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan nchini Kenya imekuwa na mafanikio makubwa baada ya kukubaliana na mwenyeji wake, Rais Uhuru Kenya kuimarisha mahusiano baina ya nchi zote mbili ikiwemo kuondoa vikwazo vya kibiashara.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.