LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wafanyakazi SHUWASA washiriki Futari na watoto wenye mahitaji maalum

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) Mei07, 2021 jioni wameshiriki Futari ya pamoja na watoto wenye mahitaji maalumu (Watoto wenye ualbino, wasioona na viziwi) wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi Manispaa ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya kuutukuza Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Watoto wenye mahitaji maalumu (Watoto wenye ualbino, wasioona na viziwi) wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi Manispaa ya Shinyanga wakichukua Futari.

Watoto wenye mahitaji maalumu (Watoto wenye ualbino, wasioona na viziwi) wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi Manispaa ya Shinyanga wakipata Futari.

Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari.
Wafanyakazi wa SHUWASA wakichukua Futari.

Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari Mei 7,2021 saa moja usiku.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 Blog

No comments:

Powered by Blogger.