LIVE STREAM ADS

Header Ads

Acheni vikwazo kwa wawekezaji, toeni ushirikiano- DC Magu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Magu mkoani Mwanza, Salum Kalii amewasihi viongozi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wanaondoa vikwazo mbalimbali vinavyowakwamisha wenye nia ya kuwekeza katika nyanya mbalimbali ikiwemo afya na elimu.

Kalii alitoa rai hiyo wakati akizungumza katika hafla ya pamoja baina ya uongozi wa Chuo cha Afya City College (City College of Health and Allied Sciences- CCOHAS) kilichopo Kanyama wilayani Magu na wadau mbalimbali wakiwemo wanajamii kwa lengo la kuimarisha mahusiano.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.