LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAKUKURU yafanya kweli Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rusha Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kushinda kesi 10 kati ya 12 katika kipindi cha kuanzia Mwezi April hadi Juni mwaka huu 2021.

Mkuu wa taasisi hiyo mkoani Mwanza, Frank Mkilanya alisema kesi hizo 10 ziliamuliwa na Mahakama, ikiendelea na majalada manane, ikifungua kesi mpya 14 na kupokea taarifa 172 za malalamiko mbalimbali ya vitendo vya rushwa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.