LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza ashiriki Maombi ya Kuliombea Taifa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Robert Gabriel ameshiriki Toba, Shukurani na Maombi ya Kuliombea Taifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa ya Kipentekosti jijini Mwanza, Jumapili Agosti 15, 2021 katika uwanja wa Furahisha.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Robert Gabriel na Viongozi mbalimbali wa dini wakiwa kwenye maombi hayo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.