LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la Standing Voice lawasaidia watu wenye ualibino kupaza sauti

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la Standing Voice kwa ufadhili wa Shirika la Internews Tanzania limeanza utekelezaji wa mradi Jumuishi wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuelimisha jamii kushirikiana vyema na watu wanaoishi na ualibino na kuondoa unyanyapaa dhidi yao.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.