LIVE STREAM ADS

Header Ads

Viongozi Mwanza wachukizwa na kasi ndogo ya miradi ya kimkakati

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza wameelezwa kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa miradi ya kimkakati jijini humo ambayo ni Soko Kuu pamoja na Stendi ya mabasi Nyegezi.

Madiwani hao wakiongozwa na Mstahiki Meya Jiji la Mwanza Rodrick Ngoye wamemwagiza Msimamizi wa miradi hiyo kuhakikisha anamsimamia vyema mkandarasi ili kuikamilisha kulingana na muda wa mkataba ifikapo 2022.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.