LIVE STREAM ADS

Header Ads

Adha ya umeme kukatika Ukerewe yapatiwa ufumbuzi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza uboreshaji wa miundombinu inayopita katika Ziwa Victoria kutoka Wilaya ya Bunda mkoani Mara kwenda Kisiwa cha Nansio Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza. Hatua hiyo imeelezwa kuwa itasaidia kuondoa adha ya umeme kukatika mara kwa mara katika Kisiwa hicho.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> 

No comments:

Powered by Blogger.