Wasanii wabadilike, wawe kama mimi. Wafanye kazi- Darada MC
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Rapa Darada MC kutoka jijini mwanza amewasihi wanamuziki wenzake kufanya kazi ya ziada nje ya muziki kwa kuajiriwa ama kujiajiri ili kujiongezea kipato hatua itakayowasaidia kujikimu kimaisha na pia kufanikisha safari yao kimuziki.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: