LIVE STREAM ADS

Header Ads

Hii ni hatari, Rais Samia aombwa kuingilia kati "wamezuia mzigo wangu"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Wafanyabiashara wa mazao ya samaki na dagaa katika Soko la Kimataifa la Mwaloni jijini Mwanza wamelalamikia ukosefu wa bidhaa hizo na kuomba Serikali iingilie kati.

Wamesema changamoto hiyo imetokana na Halmashauri ya Muleba mkoani Kagera kuzuia vibali vya kusafirisha mazao ya samaki na dagaa kutoka ndani ya Halmashauri hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.