LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: Mkutano Mkuu Maalum Jumuiya ya Wazazi CCM Nyamagana

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza Februari 07, 2022 imefanya Mkutano Mkuu Maalum ambapo mgeni rasmi ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Taifa, Gilbert Kalima.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Gilbert Kalima akizungumza kwenye mkutano huo ambapo aliwataka wana CCM kushiriki vyema uchaguzi ndani ya Jumuiya hiyo pamoja na chama unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2022.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Zebedayo Athumani akitoa salamu zake kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Nyamagana.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Zebedayo Athumani akitoa salamu zake kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Nyamagana.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nyamagana wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Zebedhayo Athumani wakati akitoa salamu zake kwenye mkutano huo.
Mwenyikiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nyamagana, Peter Bega akizungumza kwenye mkutano huo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Taifa Gilbert Kalima.
Mwenyikiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nyamagana, Peter Bega akizungumza kwenye mkutano huo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Taifa Gilbert Kalima.
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa Gilbert Kalima (katikati), Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyamagama Zebedayo Athumani (kulia) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nyamagana Peter Bega (kushoto).
Viongozi mbalimbali meza kuu.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nyamagana wakiwa kwenye mkutano huo.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wakiwa kwenye mkutano huo.
Jumuiya hiyo ya Wazazi CCM Wilaya ya Nyamagana pia iliunga mkono jitihada za Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan za kupambana na ugonjwa wa Uviko 19 kwa kutoa fursa wanaCCM kupata chanjo ya ugonjwa huo.
SOMA>>> Habari zaidi hapa

No comments:

Powered by Blogger.