LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mfalme Zumaridi matatani tena, wafuasi wake wagoma kumuacha

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Wafuasi zaidi ya 90 wa Mfalme Zumaridi wamegoma kupewa dhamana baada ya kupandishwa kizimbani wakiwa na mfalme huyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Mwanza kufuatia tuhuma mbalimbali zinazomkabiri ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu na jaribio la kujeruhi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.