LIVE STREAM ADS

Header Ads

Viongozi wa dini wahimizwa kumuombea Rais Samia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amewahimiza Viongozi wa Dini kuendelea kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili azidi kuliongoza vyema Taifa. 

RC Gabriel ametoa rai hiyo Machi 06, 2022 wakati akitoa salamu kwenye ibada ya jumapili iliyofanyika kanisa la Jesus Restoration Centre (JRC) lililopo Kirumba wilayani Ilemela.
Ibada ikiendelea katika Kanisa la JRC Mwanza.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Eng. Robert Gabriel (katikati) akishiriki maombi katika Kanisa la JRC Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.