LIVE STREAM ADS

Header Ads

Hutawaona majukwaani, ingawa ni wanawake wapambanaji

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Picha imepigwa na GB Pazzo kutoka BMG Media katika mitaa ya Jiji la Mwanza na kuandika; "Huwezi kuwaona kwenye Majukwaa ya Siku ya Wanawake Duniani, lakini kwangu hawa ni mashujaa wa kweli, wanawake wa nguvu. Wanastahili KUDOS leo Machi 08, 2022 Siku ya Wanawake Duniani".
Hongereni wanawake wote wapambanaji, mnaohakikisha iwe mvua ama jua mnatafuta riziki ya halali bila kukwaza utu wenu ili kupata mahitaji yenu na familia zenu, BMG Media inawathamini sana, Heri ya Siku ya Wanawake Duniani 2022.

No comments:

Powered by Blogger.