LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waalimu Nyamagana waangua kilio, wakidai fedha zao

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Baadhi ya waalimu katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza mkoani Mwanza (Nyamagana) wamekusanyika katika Ofisi za Halmashauri hiyo wakidai malipo yao baada ya kusimamia zoezi la uandikishaji wa anwani za makazi.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel (kushoto) akizungumza na waalimu hao ambapo walikubaliana kuingia kwenye kikao cha ndani na baadhi ya wawakilishi wa waalimu ili kusikiliza malalamiko yao kwa ajili ya kutafutiwa ufumbuzi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.