LIVE STREAM ADS

Header Ads

Uzuri wa Tanzania (S02-E08) Stendi ya Nyegezi mbioni kukamilika

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa Nyegezi jijini Mwanza ulioambatana na majengo ya kibiashara umefikia asilimia 85 ambapo unatarajiwa kukamilika Julai 18, 2022.

Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 15.8 ulianza Oktoba 2022 na ulitaratiwa kukamilika Aprili 2022 lakini mkandarasi kampuni ya Mohammed Builders aliomba kuongezewa muda.
Tazama BMG TV hapa chini
Tazama zaidi>>> Uzuri wa Tanzania

No comments:

Powered by Blogger.