LIVE STREAM ADS

Header Ads

LIVE: Misa ya Kumuombea Mwasisi wa ST. CAROL Sengerema, Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mwasisi wa taasisi ya elimu St. Carol iliyopo Sengerema mkoani Mwanza Tanzania kutoka nchini Uholanzi, Sr. Tarsicius Hymink alizaliwa Januari 19, 1925 na kufariki dunia Mei 22, 2022 akiwa na miaka 97. 

Fuatilia Misa Takatifu ya Kumuombea Sr. Tarcisius Heymink #Mubashara kutoka uwanja wa Shule ya St. Carol (Parokia ya Yesu Kristu Mfalme) mjini Sengerema.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.