LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa 2022 wafana

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel amewaongoza Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu 'Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC).

Sherehe hizo zenye lengo la kuwaleta pamoja wadau wa habari ili waweze kueleza tathmini yao ya mwaka mmoja wa utekelezaji wa mipango yao ya mwaka ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan zimefanyika Usiku wa Ijumaa Juni 3,2022 katika ukumbi wa Rock City Mall Jijini Mwanza na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa Habari kutoka Kanda ya Ziwa.

Katika sherehe hizo Maalumu za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya habari wadau wa habari wamepata fursa ya kuonyesha bidhaa au huduma zao mbele ya vyombo vya habari pamoja na kujenga mahusiano ya kikazi baina ya vyombo vya habari na wadau wa habari.

Mkuu huyo wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel pia amezindua Akaunti ya Benki kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC)

Miongoni mwa Wadhamini wa Sherehe za Usiku wa Waandishi wa Habari Kanda ya Ziwa ni pamoja na Kampuni ya TBL, TCRA,NSSF, Kampuni ya Jambo, UTPC, Metro Fm, Clouds Media, TRA, TIRA, EMEDO, YUHOMA,MSCL,RFA, Cecy Toto & Gift Shop na SBC LTD.

Mwenyekiti wa MPC , Edwin Soko amesema kuwa, kwa Mwaka ujao 2023 usiku wa waandishi wa habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa kwa Mwaka utaadhimishwa kitaifa ili kuwaleta wadau wengi zaidi kwani kumekuwa na maombi toka kwa wadau juu ya hafla hiyo kuwa ya kitaifa.

Soko ameongeza kuwa, MPC inatambua uwepo wa wadaua na kwa mwaka 2022/ 2023 itahakikisha inaboresha mahusiano zaidi ya wadau wa habari Kanda ya Ziwa .

Usiku wa waaandishi wa habari na wadau wadau Kanda ya Ziwa ilitanguliwa na wiki ya wadau Kanda ya Ziwa iliyoanza Mei 29 na kuhitimishwa Juni 3, 2022, ambapo wadau wa habari waliweza kutembelewa na vyombo vya habari na kueleza tathimini ya utendaji kazi wao na mipango yao kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
Na Kadama Malunde, Malunde 1 Blog
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akizungumza katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu 'Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC) Juni 3,2022.

Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu 'Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC) Juni 3,2022.
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza, Edwin Soko akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu 'Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC) Juni 3,2022.
MC Ben na MC Gsengo (kulia) wakizungumza jambo kwwenye Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu 'Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC) Juni 3,2022.
Mkuu Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (kushoto) akikata utepe kuzindua Akaunti ya Benki kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC).
Mkuu Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (kushoto) akionesha namba za akaunti baada ya kuzindua Akaunti ya Benki kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC).
Mkuu Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (kushoto) na Mwenyekiti wa MPC , Edwin Soko wakionesha namba za akaunti baada ya kuzindua Akaunti ya Benki kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC).
Mkurugenzi wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania , Abubakar Karsan (kushoto) akichangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC).
Mkurugenzi wa Shirika la EMEDO, Editrudith Lukanga (kushoto) akichangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC).
Mkuu Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (kulia) akimpongeza Mwenyekiti wa MPC , Edwin Soko kwa kupata tuzo ya kutetea uhuru wa kujieleza.
Meza kuu wakiwa katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu 'Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Wadau wakiwa kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.

Wadau wakiwa kwenye Sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.

Wadau wakiwa kwenye Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu 'Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.

Mwakilishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Khalfan Isango akielezea huduma wanazotoa ikiwa kusajili watoa huduma za bima kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa UTPC, Abubakar Karsan akizungumza sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Mwakilishi wa NSSF, Ignas Njau akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando Dkt. Fabiani Massaga akielezea huduma zinazotolewa katika hospitali kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Msimamizi wa Radio Free Africa (RFA) Beatrice Rabachi akizungumza sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Wadau wakiwa kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Mhandisi Abel Gwanafyo kutoka Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Meneja wa Metro Fm, Allex Ngusa akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Shirika la EMEDO, Editrudith Lukanga akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Uhuru Hospital, Dkt. Derick Nyasigwa akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Yuhoma Educational Limited , Yusuph Yuhoma akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Cecy Toto & Gift Shop, Cecilia Mekhior akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Leonard Paul ambaye ni Wakala wa Matangazo 'Mwana Leonard Company' akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Mwenyekiti wa Mabalozi wa Sensa ya watu na Makazi, Mansour Jumanne akizungumza kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
Wadau wakiwa kwenye Sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza.
MC Ben (kulia) na MC Gsengo (kushoto) wakiwa katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu 'Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa' zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club - MPC) Juni 3,2022.

No comments:

Powered by Blogger.