LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: Waziri Biteko ashiriki Ibada ya Kusimikwa Askofu wa Kanisa la AICT Dayosisi ya Geita

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko (katikati) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita ameshiriki ibada ya kusimikwa na kuwekwa wakfu Askofu wa tatu wa Kanisa la AICT Jimbo la Geita, Askofu Reuben Yusufu Ng'wala.

Askofu Ng'wala anachukua nafasi ya Askofu Mussa Magwesela ambaye hivi karibuni amechaguliwa, kusimikwa na kuwekwa wakfu kuwa Askofu Mkuu wa kanisa la AICT.

BMG Blog inakuletea picha za viongozi serikali, dini na waumini mbalimbali waliohudhuria pia ibada hiyo Jumapili Disemba 11, 2022 katika kanisa la AICT Yeriko mjini Geita mgeni rasmi akiwa Dkt. Biteko.


No comments:

Powered by Blogger.