LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanafunzi wa shule za Msalala wapatiwa elimu ya kujitambua na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kupitia program ya Barrick Bulyanhulu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia mwaka huu, Barrick iliendesha program mbalimbali za kutoa elimu mashuleni dhidi ya vitendo hivyo ambapo mgodi wa Bulyanhulu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali umewezesha elimu hiyo kufikia shule za msingi na sekondari zilizopo katika vitongoji vinavyozunguka mgodi huo.
Wanafunzi wa shule za Bugarama,Buyage,Ibanza na Igwamanoni wamefikiwa na elimu ya kujitambua na kupinga vitendo vya Ukatili wa Kijinsia

No comments:

Powered by Blogger.