Jumuiya ya LVRLAC yahimiza ulinzi wa Ziwa Victoria, utunzaji mazingira
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa inayoundwa na Halmashauri zinazozunguka Ziwa Victoria (LVRLAC) Kanda ya Tanzania, William Gumbo akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa jumuiya hiyo uliofanyika Machi 30, 2023 jijini Mwanza.
Katibu Mkuu wa LVRLAC Kanda ya Tanzania, Billy Brown akizungumza kwenye mkutano wa jumuiya hiyo uliofanyika Machi 30, 2023 jijini Mwanza ukiwashirikisha wadau wa mazingira na uhifadhi wa Ziwa Victoria.
Mwenyekiti wa LVRLAC Afrika Mashariki, Richard Ogindo kutoka nchini Kenya akizungumza kwenye mkutano wa jumuiya hiyo uliowashirikisha wadau wa mazingira na uhifadhi wa Ziwa Victoria kwa lengo la kujadili juhudi mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mkutano wa
wadau ulioandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa inayoundwa na Halmashauri
zinazozunguka Ziwa Victoria (LVRLAC) Kanda ya Tanzania umehimiza jitihada zaidi
kuchukuliwa ili kuokoa uhai wa Ziwa Victoria. Mkutano huo ulifanyika Machi 30,
2023 jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>> Habari zaidi kuhusu LVRLAC
No comments: