LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Mbarawa ajibu hoja za mkataba wa bandari, DP World

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema kampuni ya TICTS ilishindwa kuonesha ufanisi katika utoaji huduma kwenye bandari ya Dar es salaam hivyo kuachana na kampuni hiyo na kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni uamuzi sahihi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.