LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mbivu na mbichi kuhusu mkataba wa bandari kujulikana Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo wanatarajiwa kuunguruma katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumapili Julai 30, 2023 ambapo pamoja na mambo mengine, watatoa ufafanuzi kuhusu mkataba wa uwekezaji wa bandari.
Mkutano huo utakuwa mubashara BMG Online TV.

No comments:

Powered by Blogger.