LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023 Sengerema

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenge wa Uhuru umewasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema ukitokea Halmashauri ya Buchosa, mkoani Mwanza.

Mapokezi ya Mwenge huo yamefanyika kwenye uwanja wa Bungonya ukiongozwa na Kiongozi wake, Abdalla Shaib Kaim ambapo unaotarajiwa kukagua, kuweka mawe ya msingi na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Buchosa, Benson Mihayo amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Binuru Shekideli.
Na George Binagi- GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.