LIVE STREAM ADS

Header Ads

Siku ya Usafi wa Mazingira Duniani 2023

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Katika maadhimisho ya siku ya usafi wa mazingira duniani, ETE wameshiriki kusafisha ufukwe wa Kawe katika Bahari ya Hindi Dar es Salaam tuko lilio andaliwa na Haika Chao kutoka Student For Liberty Tanzania.

ETE pamoja na kushiriki kufanya usafi katika eneo hilo wanatumia Dijitali kuyasemea mazingira ambayo hayawezi kujisemea yenyewe, kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa mbalimbali ya mtandaoni kwa lengo la kufikisha ujumbe wa kukumbusha jamii kuendelea kutunza mazingira na kuyapenda ili yaendelee kuwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo
Na Fredy Njeje, Dar

No comments:

Powered by Blogger.