LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wajawazito tisa waokolewa Itilima mkoani Simiyu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Watoa huduma za afya katika Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu wamefanikiwa kuokoa maisha ya wanawake wajawazito tisa kati ya kumi waliopata changamoto ya mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi.

Hayo yamebainishwa na Mratibu wa afya ya uzazi wa mama na mtoto Halmashauri ya Wilaya ya Itilima na kubainisha kuwa hatua hiyo imetokana na Serikali kwa kushirikiana na mradi wa USAID Afya Yangu- RMNCAH kuwajengea uwezo watumishi wa afya.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.