LIVE STREAM ADS

Header Ads

Matumizi ya huduma za uzazi wa mpango yaongezeka Simiyu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kiwango cha matumizi ya huduma za uzazi wa mpango mkoani kimepanda kutoka asilimia 36 mwaka jana hadi kufikia asilimia 45 mwaka huu huku idadi ya wanawake wanaojifungulia katika vituo vya afya ikifikia asilimia 90.

Mafanikio hayo yametokana na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya ikiwemo mradi wa USAID Afya Yangu- RMNCAH kutoa elimu kwa jamii na kuimarisha upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.