LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanaume waliokimbia Kijiji watakiwa kurejea, hali iko shwari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Baadhi ya wakazi hususani wanaume waliokimbia Kijiji cha Remung'orori Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wametakiwa kurejea baada ya zoezi ya kamata kamata kusitishwa. 

Ilielezwa kwamba kuliwa na oparesheni ya kuwakamata watu waliohusika kwenye mapigano baina ya Kijiji cha Remugorori na Mekomariro wilayani Bunda, wakigombea mpaka ya ardhi katika eneo la Metoha na kusababisha nyumba kuchomwa moto, majeruhi na mauaji.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.