LIVE STREAM ADS

Header Ads

Meya wa Jiji la Tulsa Marekani awasili jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Meya wa Jiji la Tulsa nchini Marekani, George Bynum amewasili jijini Mwanza kushuhudia fursa mbalimbali za kiuwekezaji baada ya majiji hayo mawili kuanzisha mahusiano ya kushirikiana katika sekta mbalimbali za kimaendeleo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.