LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mteule wa Rais Samia aupiga mwingi Ukerewe, Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Emmanuel Sherembi wamepewa heko kwa kusimamia vyema fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo zilizotolewa na serikali kuu, mapato ya ndani na wadau kwa mwaka wa fedha 2021/22 na 2022/23.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.