LIVE STREAM ADS

Header Ads

SAWAU, WADADA Solutions waendesha majadiliano kuhusu afya ya uzazi kwa vijana

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la Sauti ya Wanawake Ukerewe (SAWAU) kwa kushirikiana na shirika la Wadada Solutions on Gender Based Violence, limeendesha majadiliano kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kwa vijana kwa lengo la kutoa elimu kwa jamii.

Majadiliano hayo yamefanyika jijini Mwanza na kuhusisha wawakilishi wa makundi ya kijamii wakiwemo wazazi, walezi, wanafunzi na viongozi wa dini ikiwa ni utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi wa 'You Can' unaofadhiliwa na shirika la Women's Global Network for Reproductive Rights (WGNRR).
Na George Binagi- GB Pazzo, BMG
Mkurugenzi wa shirika la SAWAU, Sophia Donald akizungumza wakati wa majadiliano hayo.
Mkurugenzi wa shirika la Wadada Solutions, Lucy Elius akizungumza kwenye majadiliano hayo.
Afisa Habari shirika la SAWAU, Lilian Ruguga akichangia hoja wakati wa majadiliano hayo.
Meneja Program shirika la Wadada Solutions, Anitha Samson akiongoza majadiliano.
Majadiliano yakiendelea.
Mwakilishi wa kundi la vijana kutoka vyuoni akichangia mada.
Mwakilishi wa wazazi akichangia hoja.
Majadiliano yakiendelea.
Washiriki wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Washiriki wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA SOMA>>> HABARI ZAIDI HAPA

No comments:

Powered by Blogger.