LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwali mwingine kutua Tanzania hivi karibuni

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kichwa kimojawapo miongoni mwa vichwa 17 vya treni ya kisasa ya umeme (SGR) kikiwa kwenye hatua ya mwisho ya matengenezo nchini Korea Kusini kabla ya kuwasili nchini kutoa huduma ya usafiri na usafirishaji.

Itakumbukwa tayari kichwa kimoja tayari kimewasili nchini tangu Novemba 02, 2023 huku kichwa kingine kikiwa kwenye hatua ya majaribio nchini humo kabla ya kuwasili nchini (Tanzania) hivi karibuni.
Hatua hii ni miongoni mwa jitihada muhimu zinazofanywa na Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan (CCM) kupitia shirika la reli nchini (TRC) kuimarisha usafiri wa reli ya kisasa (SGR) ili kurahisisha huduma ya usafiri kwa kutumia treni za mwendo kasi.

No comments:

Powered by Blogger.