LIVE STREAM ADS

Header Ads

Dkt. Biteko amtembelea mzee Mashishanga mkoani Morogoro

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kulia) amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa Mstaafu, mzee Stephen Mashishanga (kushoto) nyumbani kwake, Mtaa wa Forest mkoani Morogoro, Aprili 11, 2024 ili kumjulia hali na kuvuna hekima zake katika uongozi.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Steven Mashishanga (kulia) nyumbani kwake mkoani Morogoro. 

No comments:

Powered by Blogger.