Kama mradi umekamilika, wananchi wapate maji- Mwenyekiti wa CCM Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa imeitaka MWAUWASA kuwekeza nguvu kwenye utandazaji wa mabomba ili wananchi wapate maji.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Michael Masanja ameyasema hayo baada ya kukagua mradi mkubwa wa chanzo cha maji Butimba jijini Mwanza na kuelezwa kuwa umekamilika na unafanya kazi kwa majaribio.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments: