Wafanyabiashara Mwanza wagoma
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wafanyabiashara jijini Mwanza Jumanne Juni 25, 2024 wamegoma kufungua maduka ili kushinikisha mamlaka zinazohusika kushughulikia kero zinazowakabili.
Mgomo huo umejiri siku moja baada ya wafanyabiashara jijini Dar es salaam pia kugoma huku pia ikielezwa kuwa utaendelea katika mikoa mbalimbali nchini.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> SOMA HABARI ZAIDI HAPA
No comments: