Siku ya PAMBA JIJI FC yazinduliwa jijini Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wiki ya timu ya soka ya Pamba Jiji FC ya jijini Mwanza imezinduliwa rasmi Jumatatu Julai 22, 2024 katika uwanja wa Nyamagana ambapo kilele cha wiki hiyo itakuwa Jumamosi Agosti 10, 2024 katika uwanja wa CCM Kirumba (Pamba Day).
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> BONYEZA HAPA KUTAZAMA ZAIDI
No comments: