Ufunguzi wa tawi la Pamba Jiji FC wilayani Magu
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kamati ya hamasa imeendelea kuhamasisha mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa CCM Kirumba siku ya 'Pamba Day' tarehe 10 Agosti 2024.
Kamati hiyo imeendelea kujigawa katika maeneo mbalimbali mkoani Mwanza kushiriki shughuli mbalimbali kuelekea Pamba Day ikiwemo kufungua matawi ya timu ya Pamba Jiji FC, kuuza tiketi na jezi ambapo Jumapili Julai 28,2024 hamasa imefanyika wilayani Magu.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA SOMA>>> UFUNGUZITAWI LA KWIMBA
No comments: