Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii akagua Chuo cha Misungwi CDTTI
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu (kushoto) akisalimiana na watumishi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi CDTTI alipowasili Agosti 21, 2024 chuoni hapo kukagua shughuli za uendeshaji chuo hicho ikiwa ni mara ya kwanza tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hivi karibuni.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi CDTTI, Dongo Nzori (kulia) akiwasilisha taarifa ya uendeshaji wa Chuo hicho kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu (kushoto).
Watumishi, wanafunzi na viongozi mbalimbali.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu (kushoto) akipokea maelezo ya ujenzi wa bweni la wasichana katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi CDTTI.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu akizungumza na watumishi wa Chuo cha Misungwi CDTTI wakati akikagua ujenzi wa bweni la wasichana.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu akisikiliza jambo wakati akikagua maabara ya Chuo cha Misungwi CDTTI.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu (kushoto) akisalimiana na watumishi wa Chuo cha Misungwi CDTTI.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu (kushoto) akisalimiana na watumishi wa Chuo cha Misungwi CDTTI.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu (kushoto) akisalimiana na watumishi wa Chuo cha Misungwi CDTTI.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu pia alitembelea makao ya wazee Bukumbi wilayani Misungwi na kuzungumza na wazee wanaoishi kwenye kambi hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: