LIVE STREAM ADS

Header Ads

Binti aliyepata 'ONE' shule ya Kata atoa hamasa kwa wengine

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Perepetua Nsumba ni miongoni mwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Kata ya Ibinza wilayani Ilemela, waliofanikiwa kufanya vizuri kwenye masomo baada ya kujengewa uwezo na shirika la KIVULINI. 

Alipata ufaulu wa daraja la kwanza kwenye mitihani ya kidato cha nne na kidato cha sita na sasa amechaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam. 

Septemba 18, 2024 Perepetua amefika Ibinza na kutoa hamasa kwa wanafunzi wa shule hiyo kuzingatia masomo ili kufanya vizuri kama yeye.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.