Waziri Gwajima aacha furaha Chuo cha Misungwi CDTTI
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum- Dkt. Dorothy Gwajima amekagua ujenzi wa bweni la wanafunzi katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi, Misungwi CDTTI.
Dkt. Gwajima alikagua mradi huo Septemba 17, 2024 na kubainisha kuwa tayari Serikali imeidhisha shilingi milioni 500 kwa ajili ya kuendelea na hatua inayofuata ya ujenzi huo ambao uko hatua ya msingi. Mkuu wa Chuo hicho, Arch.
Charles Achuodho amesema shilingi bilioni 1.9 zinahitajika ili kukamilisha awamu ya kwanza ya ujenzi wa jengo hilo na kutoa fursa ya kubeba wanafunzi 352.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: