Waziri Gwajima avutiwa na watani wa jadi kupambana na ukatili
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum- Dkt. Dorothy Gwajima amekiri kuvutiwa na mbinu ya kuwashirikisha mashabiki wa timu za Simba na Yanga kwenye mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia na kueleza kuwa mbinu hiyo inapaswa kuigwa kote nchini.
Dkt. Gwajima ameyasema hayo Septemba 17, 2024 wakati akizungumza katika Kijiji cha Ng’haya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, kwenye mkutano wa kuamsha ari ya kutokomeza ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA PIA>>> Gwajima atua Tarime kwa kishindo
No comments: