LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wenje alia na figizu zoezi la uandikishaji daftari la wakazi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameitisha mkutano na wanahabari jijini Mwanza kuzungumzia mwenendo wa zoezi la uandikishaji wapiga kura kwenye daftari la wakazi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.