LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Samia awatunuku Kamisheni Maafisa wa Jeshi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatunuku Kamisheni katika Cheo Cha Luteni Usu Maafisa Wanafunzi kundi la 05/21BMS na kundi la 71/23 (Regular).

Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan aliwatunuku Kamisheni Maafisa hao pamoja na Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (BMS) Maafisa wanafunzi Kundi la 05/21 katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha Novemba 28, 2024
#KaziInaendelea

No comments:

Powered by Blogger.