Rais Samia apanga foleni kupiga kura, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
RRais Dkt. Samia Suluhu leo Novemba 27,2024 ameshiriki katika zoezi la kupiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa.
Rais Dkt. Samia kama ilivyo kwa wananchi wengine, nae alifika katika kituo cha Kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma mapema na kuungana na wananchi wengine katika kupanga foleni ya kwenda kupiga kura.
Hatua hiyo inadhihirisha wazi kuwa kiongozi huyu ni mwenye kujichanganya na wananchi wake bila kutumia mamlaka aliyonayo.
#KaziInaongea
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura
No comments: