UVDS Mwanza wabuni mbinu ya kuhimiza wananchi kupiga kura
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Ikiwa imesalia siku moja kuelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji, umoja wa makondakta na wasaidizi wao jijini Mwanza (UVDS), umewakumbusha wananchi kujitokeza kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaowataka.
Viongozi wa umoja huo wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Mlimi Juma wametumbia mbinu ya kugawa vipeperushi katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Mwanza ikiwemo stendi za daladala ikiwa ni sehemu ya kutoa hamasa kwa wananchi kushiriki uchaguzi huo hapo kesho jumatano Novemba 27, 2024.
UVDS Mwanza wanasema kura yako ni muhimu, jitokeze kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji na vijiji tarehe 27, 2024 tuipenda nchi yetu kwa vitendo.
Mwenyekiti wa UVDS, Mlimi Juma (kushoto) akigawa vipeperushi kwenye daladala jijini Mwanza ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji utaokfanyika Jumatano Novemba 27, 2024.
Mwenyekiti wa UVDS, Mlimi Juma akigawa vipeperushi kwenye daladala jijini Mwanza ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji utaokfanyika Jumatano Novemba 27, 2024.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa na Starehe UVDS, Hassan Amin (kulia) akigawa vipeperushi kwenye daladala jijini Mwanza ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji utaokfanyika Jumatano Novemba 27, 2024.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa na Starehe UVDS, Hassan Amin (kulia) akigawa vipeperushi kwenye daladala jijini Mwanza ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji utaokfanyika Jumatano Novemba 27, 2024.
Mlevi wa UVDS, Michael Makale (kulia) akigawa vipeperushi kwenye daladala jijini Mwanza ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji utaokfanyika Jumatano Novemba 27, 2024.
Mlevi wa UVDS, Michael Makale (katikati) akigawa vipeperushi kwenye daladala jijini Mwanza ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji utaokfanyika Jumatano Novemba 27, 2024.
Mwananchi akisoma kipeperushi kwenye daladala.
Mwananchi akisoma kipeperushi kwenye daladala.
Viongozi wa UVDS wakiendelea kugawa vipeperushi vya kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura.
Moja ya gari la polisi lililonaswa jijini Mwanza ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuimarisha ulinzi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Hili pia limenaswa jijini Mwanza, maandalizi ya ulinzi yanaendelea ili upigaji kura uwe salama.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: